Gospel Global Walter Chilambo – Unafaa

Walter Chilambo – Unafaa

Download Unafaa Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Unafaa“. You'll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Unafaa by

Macho yameona na tena nimesikia habari njema kwangu
Moyo una shauku pia kukuona zaidi bwana wangu
Nina kiu kiu isio kata aah ni kama nipo jangwani naona vumbi tu
Nahitaji chakula cha roho yangu mi nipone kwa maana nipo jangwani
(ninakuhitaji yeyeeh)

Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Hakika wewe unafaa [unafaa]

Baba sitamani nije kwako mikono mitupu nibariki nikutolee sadaka
Najua nikiwa mikononi mwako nitakua shwari nitakuwa shwari
Kwa mana ahadi zako si uongo [uongo] ndivyo hivyo unatimiza ahadi
Ndo maana sina wasiwasi ndo maana sina waasi

Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe iwe salama yang
Baba [huhuhuuuh] ukae ndani yangu nikae na wewe [babababababah]
Ni wewe unanifaa unafaa [unafaa]
We ni babaah [unafaa] baba ni wewe unastahili [unafaa]

Njoo ukate kiu yangu

Comment below with your feedback and thoughts on this post.