Top Christian Songs Walter Chilambo – Usinipite

Walter Chilambo – Usinipite

Download Usinipite Mp3 by

The Tanzanian Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Usinipite“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Usinipite by

Eeh Bwana Nainamisha kichwa changu
(Ninakuabudu weee )
Na tena nainua mikono yangu uuu
(Kukuadhimisha weee)
Na ninashuka kwa unyenyekevu madhabahuni pako
Maana majibu ya maswali yangu Baba
Nitapata kwako
Kwanza…….
(Nahitaji Rehema zako )
Unisafishe Bwana kwa yale Nayajua
Na nisiyo yajua
Niwe Safi Bwana
(Ninaomba Neema yako )
Na kibali chako juu yangu eeh
Nitembee kifua mbele

RELATED POST:  Walter Chilambo - Najivunia Yesu

CHORUS
Yesuuu unapozuru wengine *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E
Maombi yangu *U S I N I P I T E
Babaaa Uyakumbuke *U S I N I P I T E
Nyakati za majaribu *U S I N I P I T E
Uniguse. *U S I N I P I T E
Ingawa mi si mkamilifu *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E

RELATED POST:  Walter Chilambo - Ushuhuda

VERSE 2
Natamani Nikuone,Yesu niguse vazi lako
Natamani niwe Batimayo unifumbue macho
Unifundishe maana we Mwalimu wa IMANI
Nitapita salama
Maana akili zangu zimefika mwisho
Tumaini lipo kwako Bwana
Na unijaze Roho wako Mtakatifu
Ashike fahamu zangu
Niishi nikikulingana wewe Bwana aah

Maana wajua ninayopitia
( Nahitaji Huruma yako)
Eehh Mungu kadiri ya Fadhili zako usinipite
Ninaomba yeah
(Ninaomba Neema yako)
Zaidi nisimame nitangaze uzuri wako Bwana

RELATED POST:  Walter Chilambo - Neema Yako

CHORUS
Yesuuu unapozuru wengine *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E
Maombi yangu *U S I N I P I T E
Babaaa Uyakumbuke *U S I N I P I T E
Nyakati za majaribu *U S I N I P I T E
Uniguse. *U S I N I P I T E
Ingawa mi si mkamilifu *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E

Maana hakuna nguvu ipitayo jina lako
We unaweza. *U S I N I P I T E
Navunja maagano yote. *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E
Adui ni Mkali *U S I N I P I T E
Eeehh YESU nakuomba *U S I N I P I T E
Ninapokosa tumaini iiii *U S I N I P I T E
Unikumbuke *U S I N I P I T E

Share Your Thoughts below