Gospel Global Walter Chilambo – Mapenzi Ya Milele

Walter Chilambo – Mapenzi Ya Milele

Download Mapenzi Ya Milele Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Mapenzi Ya Milele“. You'll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Mapenzi Ya Milele by

Mapenzi ya milele ndio yanipendezayo
Yalinipenda mbele sina fahamu nayo
Sasa Amani yake tele rohoni mwangu
Mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu
Mimi kuwa wake [aaah] na yeye kuwa wangu

Mbingu zina ng'ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Mbingu zina ng'ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Ndo maana na ng'ang'ana na pendo lako la milele

Aaah Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele yote yahwe
Nitakupenda miele yote

We ni bwana wa fadhili zangu mbele umenitangulia
waziongoza njia zangu mi nisije angamia
Kinywa changu kimejawa sifa zakoza
Fahamu zangu umetawala peke yako
Moyo wangu umebali we ni rafiki wa karibu
[hufananishwi] unanipendeza wewe
Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana
Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana

Mbingu zina ng'ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Mbingu zina ng'ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo

Mmmh Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
[kama ulivyo nipenda yesu] Nitakupenda [nami nitakupenda wewe] milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele yote yahwe
Nitakupenda milele yote

Comment below with your feedback and thoughts on this post.