Download Sifa Ni Zako Mp3 by House of Wonders
DOWNLOAD MORE HOUSE OF WONDERS SONGS HERE
Lyrics: Sifa Ni Zako by House of Wonders
Nimekukimbilia wewe BWANA nisiaibike
Kwa haki yako Baba uniponye
Unitegee sikio lako uniokoe
Uwe kwangu mwamba na nguvu
Baba, tega sikio lako unijibu
Mimi nilo muhitaji ooh Baba aaah
Maombi yangu yafike mbele zako
Baba uyasikie eee
Usiufiche uso wakoo
Siku ya shida yangu Baba
Unitegee sikio lako nikuitapo
Unijibu upesi Baba
Nakutumaini nakutegemea Baba eee
Baba yangu mie oooh (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Baba sina mwingine (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Oooh tumaini langu (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Oooh mwamba wangu (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Sina mwingine Yahwee ee (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Nakutumaini Baba oooh oooh (Nakutumaini nakutegemea Baba eee)
Halleluya Hallelujah
Sifa zako nitaziimba
Usiku na mchana wastahili
Yahwee eee
Asubuhi, mchana, jioni nitaimba sifa zako Baba aaah
(Sifa zako nitaziimba, usiku na mchana wastahili)
Kaskazini, mashariki nitaomba sifa zako Baba aah
(Sifa zako nitaziimba, usiku na mchana wastahili)
Sifa zote ni zako, tunakurudishia Baba
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa ahaaa ahaaa
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa ahaaa ahaaa
Eeeh Baba ee Baba eee twakusifu yeleleleee (Eeeh Baba ee Baba eee twakusifu eee)
Eeeh Yesu ee Yesu eee twakuinua yeleleleee (Eeeh Yesu ee Yesu eee twakuinua eee)
Aaah mikono juu (mikono juu)
Aaah chezaaaa aaah chezaaa
Zunguka zunguka zunguka
Mbele mbele,nyuma nyuma umenizunguka
Mikono juu (mikono juu)
Eeeh Yesu eeh Yesu ee twakusifu yeleleleee
Eeeh Yesu eeh Yesu ee twakusifu eeeeeeee