Download Nakuamini Mp3 by House of Wonders Ft. Henrick Mruma
DOWNLOAD MORE HOUSE OF WONDERS SONGS HERE
Lyrics: Nakuamini by House of Wonders
Kwa nguvu zako umeishika misingi ya dunia yote
Kwa nguvu zako watuliza mawimbi ya bahari ooh BWANA
Kwa nguvu zako umefanya milima na mabonde BWANA
Kwa NENO lako uliumba
Najua nami nitashinda, kwa nguvu zako
Najua nitasimama tena, kwa nguvu zako
JEHOVAH, JEHOVAH
Nakuamini Wewe, Nakuamini Wewe
Kwa imani wakavuka ( Bahari ya Sham)
Kwa imani kuta za (Yeriko zikaanguka)
Nami nakuamini (Nami nakuamini)
Nimeshusha taji na viwango
Nimeshukashuka chini ananifanyia mipango
Nimekubali sihangaiki na jambo
MUNGU pekee ndie ananipa mipango
Majivuno, kiburi, Jeuri vyote nimezika kitambo
Ananiganga moyo, ananijaza roho
Ananiganga moyo, ananijaza roho
So, kanibariki namwamini, aliyenivusha mabondeni pia namwamini
MUNGU wa Israel namwamini, maana kwa nguvu zake ameniponya hata mimi
Huyo MUNGU ni Roho
So, kanibariki namwamini, aliyenivusha mabondeni pia namwamini
MUNGU wa Israel namwamini, maana kwa nguvu zake ameniponya hata mimi
Nakuamini (Nakuamini)
Halleluya (Halleluya)
Ooooh Ooooh Ooooh Ooooh