African Gospel Songs Christina Shusho – Hararat (Mp3 & Lyrics)

Christina Shusho – Hararat (Mp3 & Lyrics)

Christina Shusho Hararat

Hararat Mp3 Download Audio by

The renowned and Celebrated Tanzanian gospel singer Christina Shusho whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled “Hararat“, and was released in 2023. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Hararat” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Hararat” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Artist Name:
Mp3 Song Title:Hararat
Year of release:2023

Get the MP3 audio for free, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you're spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More CHRISTINA SHUSHO Songs Here

If You're a lover of good and great Gospel/Christian music, be it Afro-Gospel or contemporary tune, then this song “Hararat” is a beautiful song that should lift your soul.

The song “Hararat” is a melody and tune that was written due to inspiration by the Holy Ghost, as this song was made to bless lives and build your faith in Christ the Lord. The beautiful lyrics, vocals, energy, and inspiration used in birthing this song will thrill you.

Hararat Lyrics by

your not alone..
mbona wa ogopa (ogopaa ogopaa ogopaa)
umeacha uthubutu .(wuuu wuwu)
kila kilicho juu (heeh)
kilianzia chini (hoooo)
kilichoua wengi, hakitokuuwa wee
maji yaliyoangamiza wengi,
yalipandisha safina
(HARARATI)
maji hayo hayo, yalipandisha safina (heee)
maji eeh
tukutane Hararatii
hararati
tukutane Hararatii
hararati
tukutane juu ya mlima eeeh kileleni
tukutane Hararatii
hararati
kupanda mlimaa si rahisi, Anza kubadili GIA
nenda pole pole ( nenda Poole)
safari haileti mana unapoanza, hata ufike
tutakwelewa,
usipende kubaki chini,
chini Kuna misongo
chini makanyaganoo (makanyagaano)
uliumbwa Ili uwe juu (juu)
wewe niwa juu (juu)
panda twende juu (juu), Kileleeni
tukutane Hararatii
hararati
tukutane Hararatii
hararati
tukutane juu ya mlima eeeh kileleni
tukutane Hararatii
hararati ×2
kilichoua wengi hakitokuuwa wee
maji yaliyoangamiza wengi
yalipandisha safina hararati
maji hayo hayo yalipandisha safina heee
maji eeh
tukutane Hararatii
hararati
tukutane Hararatii
hararati
tukutane juu ya mlima eeeh kileleni
tukutane Hararatii
hararati ×2

Comment below with your feedback and thoughts on this post.