Download Bwana Umenichunguza Mp3 by Christina Shusho
The renowned and Celebrated Tanzanian gospel singer Christina Shusho whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled “Bwana Umenichunguza“
Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.
Download More CHRISTINA SHUSHO Songs Here
Lyrics: Bwana Umenichunguza by Christina Shusho
Eeh bwaana
Umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
Zoooteee
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaanguu
Umeelewa na njia zangu zootee
Eeh bwaana
Umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
Zoooteee
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwaanguu
Umeelewa na njia zangu zootee