Gospel Music Alice Kimanzi – Yule Yule (Mp3 Download + Video)

Alice Kimanzi – Yule Yule (Mp3 Download + Video)

Download Mp3 of Alice Kimanzi song titled “Yule Yule“, God is the same yesterday, today and forever (Heb 13:8) and His faithfulness endures from generation to generation.

Listen, Share & Stay Blessed as you enjoy.

DOWNLOAD HERE

LYRICS:

VERSE 1: Nimesikia ukitajwa mitaani Na kanisani waziimba sifa zako Yasemekana wewe ni muweza yote Hakuna jambo lolote likushindalo Na shida zote (Unatatua) Magonjwa yote (Wewe waponya) Hata na wafu (We wafufua) Nashangaa (A-a-a-ah)

CHORUS: Yule-lelele Yule Yule Yule Niwe eh Yule-lelele Yule Yule Yule! [Repeat] (Mungu wa Musa Yule) …Yule! (Na wa Yakobo Yule) …Yule! (Anaye ponya Yule) … Yule (Anaye penda Yule) Lelele-Yule! [Repeat]

VERSE 2: Danieli asema ulifunga midomo ya simba Wana Israeli kala mkate ‘toka mbinguni Sarah naye Sarah (Kampakata Isaka) Hakuna Jambo lolote likushindalo Na shida zote (Unatatua) Magonjwa yote (Wewe waponya) Hata na wafu (We wafufua aaah) Nashangaa (A-a-a-ah)

Share Your Thoughts below