Gospel Global Zion Njeri – Ni Wewe

Zion Njeri – Ni Wewe

Download Ni Wewe Mp3 by Zion Njeri

A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writer “Ni Wewe“, as she calls this song “Unatosha”. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

YOU MAY ALSO LIKE:

DOWNLOAD MORE ZION NJERI SONGS HERE

Lyrics: Ni Wewe by

Najua Mara Nyingi Nimefuata Njia Zangu na Hisia Zangu eeehh eehh
Nimeamua Kuongozwa na wewe Bwana Hatua Kwa Hatua Hadi Nifike
Nachofanya ujulikane eeh
Acha nikoswe uonekane Baba
Njia Zangu Zifunguke eeh
Kwa Neno Lako nisimame Baba
Ni wewe Bwana
Ni wewe Baba
Ni wewe tuu
Wastahili
Ni wewe Bwana
Ni Wewe Baba
Ni Wewe tuu
Wastahili
Wanishikilia nikianguka aah Mwamba imara niwe
Wanishikilia nikianguka Mwamba imara niwe
Nachofanya ujulikane eeh
Acha nikoswe uonekane Baba
Njia Zangu Zifunguke eeh
Kwa Neno Lako nisimame Baba
Ni wewe Bwana
Ni wewe Baba
Ni wewe tuu
Wastahili
Ni wewe Bwana
Ni Wewe Baba
Ni Wewe Bwana
Wastahili
Nikae ulipo nifanye utakavyo
Nikae ulipo nifanye utakavyo
Nachofanya ujulikane
Acha nikoswe uonekane Baba
Njia Zangu Zifunguke eeh
Kwa Neno Lako nisimame Baba
Ni wewe Bwana
Ni wewe Baba
Ni wewe tuu
Wastahili
Ni wewe Bwana
Ni Wewe Baba
Ni Wewe Bwana
Wastahili
Niwe Niwewe tuu eeeeh
Ni Wewe Baba Baba

Share Your Thoughts below