Download Nimelewa Mp3 by Willy Paul & Jux
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โWilly Paulโ. Thisย songย is titled โNimelewaโ performed with Jux, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE WILLY PAUL SONGS HERE
Lyrics: Nimelewa by Willy Paul
Si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu
Boo boo baby
Si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu (Pozze)
Boo boo baby
Naita kina Jaguar
Naita kina Joho na Sonko
Walete madoh
Mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Ooh baby
Ukiniguza kwa mwili na vaporate, mmh
Umenichanganya changanya
Akili ime-saturate
Sikuwahi jua
Kuna mapenzi ya kweli mama
Until nikakupata
Ooh I thank the Father
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Ooh, eeh)
Uki-smile baby girl hako kadimple
Unafanya mi nafall tu vi-deep so
Mapenzi yako tamu yaani sweet oh
Unafanya mi nafall tu visimple
Baby niko gauge, niko maji
Ndani ya mapenzi
Mi baby niko gauge, niko maji
Sitaki story ya mambogi
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Physically, wacha nikupende mnyama mkali
Baby manjigi (Manjigi, manjigi)
Nyumbani kwetu tu ni gwiji, eeh (Gwiji, gwiji)
Hey girl
I cannot get enough of you, oh
Na hata nikidunda
I’m falling for you
Baby mi nimelewa (Nimelewa oh)
Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Lewa oh oh)
Baby mi nimelewa (Lewa oh)
Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Lewa oh)
Nimelewa, bila wewe siwezi
Nimelewa, ooh cherrie
Nimelewa, bila wewe siwezi
Nimelewa, ooh mpenzi
Nimelewa, bila wewe siwezi
Nimelewa, ooh cherrie
Nimelewa, bila wewe siwezi
Nimelewa, ii (ooh)
Nimelewa (Ooh ii, maiya)
Nimelewa (Ooh iii, maiya)
Nimelewa (Ooh ii, maiya)
Nimelewa (Ooh iii, maiya)
Nimelewa (Ooh woah, oh aiya)
Nimelewa (Oh ooh, woah ooh, woah oh)
(Teddy B)
Nimelewa (Lewa, lewa)