Top Christian Songs Walter Chilambo – Najivunia Yesu

Walter Chilambo – Najivunia Yesu

Download Najivunia Yesu Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Najivunia Yesu“. You’ll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE WALTER CHILAMBO SONGS HERE

Lyrics: Najivunia Yesu by

Hivi kuwa na mali,Magari ya kifahari,bila amani (unajivunia nini) eeh
Pesa nyingi nyumba na biashara bila amani (Yeea yeeahh)

Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena umeshikilia imani zako
Wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zako
na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zako.
Polee

RELATED POST:  Walter Chilambo - Asante

Duniani sipakujivunia jina
wala mavazi ya heshima
bali neno la uzima
litatuongoza vyemaaa

Chorus:
Mwezenu mimi jamanii
(najivunia kuwa na yesu)
vya dunia nimeviacha mbali
(najivunia kuwa na Yeye)
Yesuu
pekee yake anasimama
(najivunia kuwa na Yesu)
mfalme wa wafalme
(najivunia kuwa na yeye)

Yeye ni mwalimu wa walimu
ananifundisha vyema
yeye ni tabibu wa karibu napata tiba njema
yeye ni dereva (dereva)
anazijua njia zangu baba oh
yeye ndiye Shujaa anishindia vita yangu baba oohh

RELATED POST:  Walter Chilambo - Neema Yako

Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena umeshikilia imani zako
wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zako
Na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zako
Polee

Duniani si pakujivunia jina
wala mavazi ya heshima
bali neno la uzima litatuongoza vyema

Chorus
Mwenzenu mimi jamani
(najivunia kuwa na yesu )
vya dunia nimeviacha mbali
(najivunia kuwa na yeye )

Yesu pekee yake anasimama
(Najivunia kuwa na Yesu )
mfalme wa wafalme
(najivunia kuwa na Yeye)

RELATED POST:  Walter Chilambo - Unaniona

Kwa maana hii MUNGU
aliupenda ulimwengu
akamtoa mwanae wa pekee
Ili kila mtu amwaminie asipotee
bali awe na uzima wa milele

najivunia kuwa nae

mwenzenu mimi jamani (najivunia kuwa na Yesu)
vya dunia
nimeviacha mbali
(najivunia kuwa na yeye )

Yesu peke yake anasimama
(najivunia kuwa na yesu )
ninatembea kwa maringo NGO NGO NGO NGO
(najivunia kuwa na yeye)

Share Your Thoughts below