Home Universal Gospel

Vocals Of Praise – Mbegu

Mbegu | Official Video | Vocals of Praise

Download Mbegu Mp3 by Vocals Of Praise

Introducing a soul-lifting song from the Kenyan gospel music worship group, “Vocals Of Praise“. Titled “Mbegu“, this track was released in 2026. The song combines heartfelt expression with a captivating sound, delivering a message that resonates deeply. Itโ€™s one of those songs that not only sounds good but also carries a sense of purpose and inspiration with every listen.

Enjoy the MP3 audio by streaming or downloading, and donโ€™t forget to share this amazing song with your loved ones. Let its message and sound reach more people. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Vocals Of Praise Songs Here

Listen on your favorite platform

Lyrics: Mbegu by Vocals Of Praise

Verse 1
Tafakari mbegu ikipandwa ardhini
Kwa muda inabaki kwenye giza tu
Na hata kabla ya kunawiri
Inakita mizizi ndani ya udongo kwenye giza tu
Jiweke katika hali ya mbegu hiyo
Na mpanzi wako ni Mungu Mwenyezi

Chorus
Kwa hakika utaota, mbegu ya Mungu haifi
Yeye hupanda kwenye ardhi ile nzuri
Utaota, utanawiri, utakuwa mti wenye matunda
Hapo ulipopandwa hakika utanawiri
Wewe ni mbegu yake, mbegu ya Mungu haifi

๐ŸŽต Are you a gospel artist? Get your song featured on CeeNaijaReach millions of gospel music lovers

Promote

Verse 2
Na ukichipuka unaanza kuliona jua
Upepo mkali, jua la utosi pia
Wakati mwingine ukame hutokea
Ukikita mizizi kwake Bwana unasimama imara
Hatimaye matunda matamu

๐Ÿ”’ All songs and media on this page are shared for gospel promotion purposes only. All rights belong to the respective artists and labels. If you are the rights holder and wish content removed, please read our DMCA & Copyright Policy or submit a takedown request here.

Comment below with your feedback and thoughts on this post.