African Gospel Songs Tommy Flavour – Jah Jah

Tommy Flavour – Jah Jah

Tommy Flavour Jah Jah

Download Jah Jah Mp3 by Tommy Ft

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “Tommy ” birth out a song of praise worship which she titles “Jah Jah“ featuring .

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Jah Jah by Tommy

Oh Baba, oh Baba
Naomba niongoze
Oh Jah Jah, oh Jah Jah
Ntakufata nisipote
Kwenye mabalaa umenipitisha
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakitaka niende chini wanipandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Bira nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Oh Baba

Oluwa oh Jah Jah
Wanijua kiundani
Ukunilinda maishani yeah
Sikulipi chochote
Sifati yako yote
Ila bado hujaniacha, uko na mimi
Kwenye mabalaa umenipitisha
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakitaka niwe chini ukanpandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Mi bora nikushukuru uuh uuh uuh
Ooh Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Jah Jah, jah jah
Oh Jah Jah
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru

Drop some comment below about what you think about this post!