Universal Gospel Simon Kabera Family – Mwokozi Wetu

Simon Kabera Family – Mwokozi Wetu

Download Mwokozi Wetu Mp3 Audio by

Here's an amazing song and music lyrics from the well known Rwandan gospel singer and his family, ““. It's a song titled “Mwokozi Wetu“, and was released in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don't miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you're spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Mwokozi Wetu by

  1. Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina!
  2. Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
  3. Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
  4. Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne'ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
  5. Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!

Comment below with your feedback and thoughts on this post.