Download Yatosha Sasa Mp3 by Sifaeli Mwabuka
The passionate gospel worshipper, Sifaeli Mwabuka, comes through with a song called “Yatosha Sasa“, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Yatosha Sasa” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Yatosha Sasa” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More SIFAELI MWABUKA Songs Here
Lyrics: Yatosha Sasa by Sifaeli Mwabuka
Verse one
Mungu Wangu baba yangu akukumbuke Ni maombi yangu Yesu Wangu afanye Jambo
Mungu Wangu Wa mbinguni akukumbe Ni maombi yangu Yesu Wangu afanye Jambo ร2 ooh mama!!
Chorus:
Chorus: YATOSHAร10
Maisha ya kilio,Mungu akupe kicheko
Maisha ya umasikini,Mungu akubariki
Maisha ya kuonewa,Mungu akuheshimishe
Maisha ya mateso,Mungu akupe amani
Maisha ya kupanga,ujenge nyumba yako
Kutembea kwa miguu,ununue Gari lako
Maisha ya aibu,upewe heshima yako
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha ,yatosha
Ooh yatosha, yatosha
Verse 2;
Uusilie mpendwa Maisha Ni foleni mawazo ya Mungu anakuwazia mwema
Uusilie mama futa machozi yako tabu Na shida zako Mungu yeye anajuaร2
Weka Imani Mungu anajua Kesho yako
Mwamini Mungu hawezi kukusahauร2
Chorus:
Chorus: YATOSHAร10
Maisha ya kilio,Mungu akupe kicheko
Maisha ya umasikini,Mungu akubariki
Maisha ya kuonewa,Mungu akuheshimishe
Maisha ya mateso,Mungu akupe amani
Maisha ya kupanga,ujenge nyumba yako
Kutembea kwa miguu,ununue Gari lako
Maisha ya aibu,upewe heshima yako
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha ,yatosha
Ooh yatosha, yatosha