Download Bado Napambana Mp3 by Sifaeli Mwabuka
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented musician and renowned global vocalist, “Sifaeli Mwabuka“. It’s a song titled “Bado Napambana“, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this wonderful song with your friends and family. By sharing it with others, you’re spreading the joy and message behind the music. #CeeNaija
Download More Sifaeli Mwabuka Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Bado Napambana by Sifaeli Mwabuka
yangu nitie nguvu
Mimi mwanao Mungu Wangu NITIE nguvu,eee baba×2
Katika safari zangu baba naomba usiniache
Mapito na changamoto zangu baba nitie nguvu×2
Ninaomba Neema yako baba itembee Na mimi×2
Bado napambana Mungu Wangu nitie nguvu
Umesema asiyefanya kazi baba asile×2
Kwenye Ile kazi yangu baba bado napambana
Na Ile biashara yangu baba bado napambana×2
Baado napambana baabaaa!!!!!!
Baado bado napambana,baado bado napambana!
Mungu Wangu nisaidie mwanao bado napambana×2
Tumshukuru Mungu Kwa huruma zake
Tuseme asante baba asiye Na upendeleo×2
Anajua hatujapata Leo tuamini Kesho atatupa
Wengine wao wamefanikiwa lakini Sisi bado×2
Sisi baado tuzidi kupambana,Sisi baado tuzidi kupambana×2
Anajua wakati wetu unakuja Basi tutainuliwa
Anajua wakati wetu unakuja tutabarikiwa×2
Baado napambana!!!!!??
Baado bado napambana, baado bado napambana
Mungu Wangu nisaidie mwanao bado napambana ×2





