African Gospel Songs Rose Muhando – Amina

Rose Muhando – Amina

Rose Muhando Amina

Download Amina Mp3 by Rose Muhando

The renowned Christian music minister and songwriter Rose Muhando” comes through with a song of blessing which she titles “Amina“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More ROSE MUHANDO Songs Here

Lyrics: Amina by Rose Muhando

Mpeeni Bwana utukufu na nguvu mpeeni Bwana utukufu na nguvu,
Kamwabudu Bwana kwa uzuri wake,tetemekeni mbele zake,mpeeni Bwana utukufu na nguvu
Yeye aliyempiga Pharaoh kwa mapigo kulia, mpeeni Bwana utukufu na nguvu,
Hey,aligawanya bahari ya Shamu ikawajika, mpeeni Bwana utukufu na nguvu
Mmmpeeeni Bwana,enyi wana wa Mungu, mpeeni Bwana utukufu na nguvu
Kamwabudu Bwana kwa uzuri wake, tetemekeni mbele zake, mpeeni Bwana utukufu na nguvu
Yeye aliyempiga Pharaoh kwa mapigo kulia, mpeeni Bwana utukufu na nguvu

RELATED POST:  Rose Muhando - Masekete

Hey, aligawanya bahari ya Shamu ikawachika, mpeeni Bwana utukufu na nguvu,
Ametamalaki huku na huku,(ametamalaki)
Bwana ametamalaki,huku na huku (hayayaya)
Bwana ameshinda uwezo na mamlaka
Litajeni jina la Mungu wetu,(ndio Jehovah Shamah)
Mwambie Sheitani na jeshi lake,(hapa haupati kitu)
Litajeni jina la Mungu wetu,(ndio Jehovah Shamah)
Mwambie Sheitani na jeshi lake,(hapa haupati kitu)
Simama songeeni kwa (hehehe) heshima mbeeele zake
Aabudu songeeni kwa (hehehe) heshima(wee mama) kiti chake
Tazama,(we mama tazama)yaelekea tetemeka mbele zake
Simama songeeni kwa (hehehe) heshima mbeeele zake
Aabudu songeeni kwa (hehehe) heshima ( wee mama)kiti chake
Tazama yaelekea tetemeka mbele zake
Aiyayayayaya

Kwa maana hakuna jina jingine kwetu
Ambalo litalofanya sisi kuokolewa
Kwa maana(kwa maana) hakuna jina jingine kwetu,
Ambalo litupasalo sisi kuokolewa,(hiyoooooooooo)
Hiyoooooooooo,linamfanya Sheitani kubomoka,huyoooooo,amejitoa Sasa ameanguka Ndingg!
Kwa maana, (kwa maana) hakuna jina jingine kwetu, ambalo litupasalo sisi kuokolewa hiyoooooooooo, linamfanya Sheitani kubomoka huyoooooo amejitoa Sasa ameanguka Ndingg!
Amina (Halleluyah )
Amina (Halleluyah)
Amina (Halleluyah)

RELATED POST:  Rose Muhando - Ee Mungu Nitakushukuru

Usifiwe Jehovah (wewe Bwana waweza)Amina(Mungu watukumbusha)Amina (Mungu wetu wa malii)Amina usifiwe Jehovah
Wewe baba uinuliwe(Amina) Mungu utuk uzwa(Amina) wewe ni WA Kwanza (Amina usifiwe Jehovah)
Kabla sijashuka kaburini Mimi
( nitakusifu)
Kabla enzi zangu kuchanua baba (nitatangaza)
Kabla sijashuka kaburini Mimi (nitakusifu)
Kabla enzi zangu kuchanua baba (nitatangaza)
Kwa maana wewe umekuwa ngome yangu hitaji
Simama(simama) songeeni kwa (hehehehe) heshima mbeeele zake
Aabudu songeeni kwa heshima (Wee mama tazama) za kiti chake
Tazama yaelekea tetemeka mbele zake (kumbe we simama)
Simama (simama) songeeni kwa (hehe)
heshima mbeeele zake

RELATED POST:  Rose Muhando - Yesu Nakupenda

Aabudu songeeni kwa heshima kiti chake
(wee mama tazama) Tazama yaelekea tetemeka mbele,kwa maana hakuna jina jingine kwetu, ambalo litupasalo sisi kuokolewa,kwa maana (kwa maana, kwa maana) hakuna jina jingine kwetu ambalo litupasalo sisi kuokolewa hiyoooooooooo linamfanya Sheitani kubomoka huyoooooo (heeeeee) amejitoa Sasa ameanguka Ndingg
Amina (halleluyah)
Amina (Halleluyah)
Amina (usifiwe Jehovah)
Wewe Bwana waweza(Amina)
Mungu watutosha(Amina)haaaa Amina usifiwe Jehovah
unaponya Magonjwa baba(Amina.)unafariji yatima baba (Amina) usifiwe Jehovah Wachungaji imbeni(Amina)Haaaaha Amina(Halleluyah)Amina usifiwe Jehovah (Amina)baba,watu wote sifuni (Amina)×2

Share Your Thoughts below