Download Zawadi Mp3 by Paul Clement
A song by the Africsn gospel singer and recording artist “Paul Clement” releases a new tune alongside its Visuals, as this song has been a blessing all through since it was released title “Zawadi“.
Get Mp3 Audio, Stream, Enjoy, share & remain blessed.
DOWNLOAD MORE PAUL CLEMENT SONGS HERE
If You’re a lover of good and great Gospel/Christian music, be it Afro Gospel or contemporary tune, then this song “Zawadi” is a beautiful song that should lift your soul.
The song “Zawadi” is a melody and tune that was written due to inspiration by the Holy Ghost, as this song was made to bless lives and build your faith in Christ the Lord. The beautiful lyrics, vocals, energy, and inspiration used in birthing this song will thrill you.
Lyrics: Zawadi by Paul Clement
DG
Kila siku Mungu, anatupa zawadi
Zawadi ya uhai, na afya njema
Hata tukikosea, anatupa zawadi
Zawadi ya uhai, na afya njema
Hivyo neno asante
Litakaa kinywani mwangu daima
Bila kukoma
Ndio maana kila siku, ninapoamka
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi
Wengine wamepata, wengine wamekosa
Ninapowaona namshukuru Mungu
Nashukuru, ya, hai na, baba(kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru, ooh-ooh-ooah oh-oh-oh-oh-eh-eh (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante, baba, baba baba(kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru baba, nashukuru, ooh-ooh-ooh-ooh (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Anipaye nguvu, za kupata utajiri
Sitamshukuru kwa mali, bali kwa uhai
Uhai nd’o nguvu, za kupata utajiri
Hivyo ninamshukuru kwa afya na uhai
Sisubiri mpaka niwe navyo vingi
Vingi vipo kwenye afya na uhai
Kwa uhai nashukuru, eh baba ninashukuru
Kama si wewe nisingalikuwepo
Ndio maana kila siku, ninapoamka
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi
Wengine wamepata, wengine wamekosa
Ninapowaona namshukuru Mungu
Nashukuru, ye-eh-ah, hai na (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Baba asante, uhai na (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru kwa, zawadi ya, (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante, baba, baba baba (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Kama si wewe nisingalikuwepo, oh yeah, hai na(kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante kwa huruma, baba, umenihurumia umenihurumia (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante kwa neema, neema hii ni kubwa, baba (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru, uhai na (kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Ooh-ooh-ooh-ooh-ooh
He-her-arh
Ooh-ooh-ooh
Mh-mh-mmh
Oh-oh-oh-oh
Kila siku Mungu anatupa zawadi
Zawadi ya uhai na afya njema