Gospel Music South Africa Gospel Songs Paul Clement – Ninaishi Kukuabudu

Paul Clement – Ninaishi Kukuabudu

Paul Clement Ninaishi Kukuabudu

Download Ninaishi Kukuabudu Mp3 by Paul Clement Ft. Mpelo Kapama

A song by the Tanzanian gospel singer and recording artist “Paul Clement” releases a new tune alongside its Visuals, as this song has been a blessing all through since it was released title “Ninaishi Kukuabudu“ featuring Mpelo Kapama.

Get Mp3 Audio, Stream, Enjoy, share & remain blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Ninaishi Kukuabudu by

– Ninaishi KukuabuduOoh, eeh yeah
Maisha haya ninayoishi, yako mikononi mwako
Uhai huu uzima huu, unalindwa na kusudi lako, ooh

Maisha haya ninayoishi, yako mikononi mwako
Uhai huu uzima huu, unalindwa na kusudi lako

Maisha haya (maisha haya) ninayoishi (ninayoishi)
Yako mikononi mwako (yako mikononi mwako)
Uhai huu (uhai huu), uzima huu (uzima huu)
Unalindwa na kusudi lako, (unalindwa na kusudi lako)

Tena, maisha haya (maisha haya) ninayoishi (ninayoishi)
Yako mikononi mwako (yako) eeh (mikononi mwako)
Uhai huu (uhai huu), uzima huu (uzima huu)
Unalindwa na kusudi lako, (unalindwa) hey, oh Bwana (na kusudi lako)

Ninaishi (Uh, uuh uh)
Kukwabudu (Uh, uuh uh)
Ninaishi (Uh, uuh uh)
Kukwabudu Bwana (Uh, uuh uh)
Maana wewe ndiwe (Uh, uuh uh)
Maana wewe ndiwe Mungu (Uh, uuh uh)

RELATED POST:  DOWNLOAD MP3: Alice Kimanzi ft. Paul Clement - Yuko Mungu (LYRICS)

Baba…
Unifunge akili zangu, ili nifanye kwa Roho wako
Uniongoze unifundishe, ili nifanye kazi yako
Unifunge akili zangu, ili nifanye kwa Roho wako
Uniongoze unifundishe, ili nifanye kazi yako

Maana ninaishi (Uh, uuh uh) hah ah
Kukwabudu (Uh, uuh uh) oh
Ninaishi (Uh, uuh uh) eeh
Na kukwabudu Baba (Uh, uuh uh), let’s…
Maana wewe ndiwe (Uh, uuh uh) Mungu wangu
Maana wewe ndiwe (Uh, uuh uh) Mungu wangu
Na, ra ra

Naishi, naishi, naishi kukwabudu
Naishi, iih eh naishi, naishi kukwabudu
Everybody sing, eeh
(Naishi) heh eh (naishi) that sound so beutiful
(Naishi) kukwabudu Yesu (kukwabudu)
Naishi (naishi, naishi) naishi (naishi) let’s take it high (kukwabudu)
Ooh, tena naishi (naishi) naishi (naishi) naishi (naishi)
Kwa sababu moja tu (kukwabudu)
Ninajua neno moja (naishi), mimi ninaishi (naishi) tena ninaishi
(Naishi kukwabudu) eeh take it high

Bwana naishi (naishi)
Kwa ajili yako (naishi)
Bwana kwa sababu yako (naishi)
Eeh (kukwabudu)
Bwana mimi ni kusudi lako Bwana (naishi)
Kwa ajili yako (naishi)
Bwana kwa sababu yako (naishi) yeah (kukwabudu)
Uh uuh uh (naishi), eeh
Kwa ajili yako (naishi)
Bwana kwa sababu yako (naishi) yeeh (kukwabudu)

RELATED POST:  Paul Clement - Jehovah Eh

Uh uuh naishi (naishi) sema ninaishi (naishi)
Kwa sababu moja tu (naishi) kukwabudu (kukwabudu)
Eeh naishi (naishi) sema naishi (naishi) naishi (naishi)
Let the music worship God (naishi kukwabudu)
Oh let the sound…
Oh kwa ajili yako, eeh eh
Oooh, oooh

Sikia, listen to this Mungu ametuumba kwa image yake
(Naishi kukwabudu)
Na alipotuumba hakuishia kwenye uumbaji peke yake
Akainvest vitu vingi sana ndani yetu
Lakini cha kusikitisha (naishi) ni kitu kimoja kwamba wanadamu
Wanapo accumulate (kukwabudu) the desire of their hearts

Anapoaccomplish dreams zake, anasahau the purpose of
Anasahau kusudi lake (naishi kukwabudu) and God is busy looking and
Searching for people,
Who can truly worship him in the spirit and truth
(Naishi) muulize jirani yako (kukwabudu) we ni mwabudu?
Muulize na mwingine, wewe ni mwabudu wa kweli?
(Mmh yeah) hebu kama wewe ni
Mwabudu wa kweli sasa simama kwa miguu yako
We have to raise up (naishi) one more time (kukwabudu)
Na unapoanza kumwabudu Bwana katika
Roho na kweli, God is gonna release
Miracles in your life,
God is gonna release wonderful things you have never dream

RELATED POST:  Paul Clement - Ulinamaka

Unaamini hayo(naishi), liitie jina la Yesu (kukwabudu)
Unaamini hayo mtu wa Mungu, jioni ya leo?
Hebu nisikie kelele ya shangwe kama
Unaamini hivyo, eeh (naishi kukwabudu)
Sema naishi, everybody say (naishi) everybody sing eeh (naishi)
Sema naishi (naishi) kukwabudu (kukwabudu)
And sing it one more time (naishi), come on sing it sing it (naishi)
Bwana (naishi), tena Bwana (naishi) yeeh kukwabudu)
Mi ni pumzi ya uhai wako Bwana, naishi (naishi)
Kwa ajili yako (naishi)

Bwana kwa sababu yako (naishi) eeh kukwabudu)
Sina cha kujivuna Bwana, ila kwako tuu (naishi)
Wee Bwana (naishi) wee Bwana ah (naishi), eeh (kukwabudu)
Ni Bwana (naishi), naishi (naishi) ooh oh (naishi)
Kukwabudu Bwana (kukwabudu)
Mi ni pumzi ya uhai wako Bwana (naishi) yeeh (naishi)
Yeeeh(naishi) ooh (kukwabudu)
Mimi ni kusudi lako (Halelluya)
Mi ni pumzi ya uhai wako (Yes Lord)
Wewe uko ndani yangu, nami ndani yako
Naishi kwa ajili yako, kwa sababu moja tuu
Nayo ninaijua, kua naishi kukwabudu Bwana ooh Yahwe eeh
Wewe ni mwema, thank you thank you

Share Your Thoughts below