Gospel Global Paul Clement – Mwema

Paul Clement – Mwema

Download Mwema Mp3 by Paul Clement Ft.

A song by the African gospel singer and recording artist “Paul Clement” releases a new tune alongside its Visuals, as this song has been a blessing all through since it was released title “Mwema“ featuring .

Get Mp3 Audio, Stream, Enjoy, share & remain blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE PAUL CLEMENT SONGS HERE

Lyrics: Mwema by Paul Clement

Verse 1 (Paul Clement)
Wema wako si kwa wakati wa furaha tu,
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi,
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu,
Wema wako ni kila wakati na kila nyakati,
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema,
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema,

CHOURUS
Wewe ni Mwema
Umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema.

Verse 2 (Bella kombo)

Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu,
Wema wako ni kama maji
Yanayomiminika bila kukoma,
Mtu akinge ama asikinge
Hayataacha kutoka,
Hata sasa ni Mwema,
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema

CHOURUS
Wewe ni Mwema
Umwemaaa
Wewe ni Mwema,
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema.

Your goodness, is not only in good times
Your goodness is also seen in times of grief
Your goodness is not only measured in certain seasons
Your goodness is in every moment and in every season

Even now You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good.

Chorus
You are good
You are good
You are good

Your goodness is like the sand, it cannot be counted
Your goodness is like running water that flows endlessly
Whether or not somebody fetches, it never ceases to flow

Even now, You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good

Drop some comment below about what you think about this post!