Download Umenipendelea Mp3 by Neema Gospel Choir
Here’s an amazing song and music lyrics from “Neema Gospel Choir“. It’s a song titled “Umenipendelea“, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More NEEMA GOSPEL CHOIR Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Umenipendelea by Neema Gospel Choir
Wale ambao wamependelewa afya
Nisikie kelele
Wale ambao wamependelewa watoto
Nisikie kelele
Wale wamependelewa utajiri
Nisikie kelele, Wewe!
Aiiiiii
Nimeona fadhili zako
Maishani mwangu Yahweh
Nimeona wema wako
Maishani mwangu Yesu
Nimeona fadhili zako
Maishani mwangu Yahweh
Nimeona wema wako
Maishani mwangu Yesu
Umenipendelea
Umenipendelea
Umenipendelea
Umenipendelea
Nimeona fadhili zako
Maishani mwangu Yahweh
Nimeona wema wako
Maishani mwangu Yesu
Nimeona fadhili zako
Maishani mwangu Yahweh
Nimeona wema wako
Maishani mwangu Yesu
Umenipendelea
Umenipendelea
Umenipendelea
Umenipendelea
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Maana hivi vyote wewe umetenda
Maana hivi vyote wewe umefanya
Maana hivi vyote wewe umetenda
Maana hivi vyote wewe umefanya
Niseme nini
Nifanye nini
Wakitaka ushuhuda
Waniangalie mimi
Niseme nini
Nifanye nini
Wakitaka ushuhuda
Waniangalie mimi
Yule ambaye
Aliyeponywa Magonjwa
Na Mungu
Ndio mimi
Yule ambaye
Alitolewa matopeni
Na Mungu
Ndio mimi
Niseme nini
Nifanye nini
Wakitaka ushuhuda
Waniangalie mimi
Niseme nini
Nifanye nini
Wakitaka ushuhuda
Waniangalie mimi
Yule ambaye
Aliyetajirishwa
Na Mungu mwenyewe
Ndio mimi
Yule ambaye
Aliyeinuliwa na Mungu
Mwenyewe
Ndio mimi
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Say, Afya Hii
Afya hii
Sababu ni wewe
Afya hii
Sababu ni wewe
Uzima Huu
Uzima huu
Sababu ni wewe
Uzima huu
Sababu ni wewe
Umenipendelea
Yesu Umenipendelea
Umenipendelea
Jamani Amenipendelea
Umenipendelea
Niseme nini, Amenipendelea
Umenipendelea
Neema Hii
Neema hii
Sababu ni wewe
Neema hii
Sababu ni wewe
Baraka hizi
Baraka hizi
Sababu ni wewe
Baraka hizi
Sababu ni wewe
Umenipendelea
Haaah, Amenipendelea
Umenipendelea
Huyu Yesu, Amenipendelea
Umenipendelea
Jamani Amenipendelea
Umenipendelea
Familia
Familia hii
Sababu ni wewe
Familia hii
Sababu ni wewe
Watoto hawa
Sababu ni wewe
Watoto hawa
Sababu ni wewe
Amenipe
Umenipendelea
Uwii, Amenipendelea
Umenipendelea
Huyu Yesu, Amenipendelea
Umenipendelea
Haaah, Amenipendelea
Umenipendelea
Nafasi
Nafasi Hii
Sababu ni wewe
Nafasi Hii
Sababu ni wewe
Neema Hii
Neema Hii
Sababu ni wewe
Neema Hii
Sababu ni wewe
Amenipe
Umenipendelea
Yesu, Umenipendelea
Umenipendelea
Huyu Yesu, Amenipendelea
Umenipendelea
Hee Hee Hee, Amenipendelea
Umenipendelea
Najua bila wewe nisingeweza
Najua bila wewe nisingeweza
Najua
Najua bila wewe nisingeweza
Najua
Najua bila wewe nisingeweza
Najua
Najua bila wewe nisingeweza
Najua
Najua bila wewe nisingeweza
Maana Hivi Vyo
Maana hivi vyote
Wewe umetenda
Maana hivi vyote
Maana hivi vyote
Wewe umefanya
Maana hivi vyote
Wewe umetenda
Maana hivi vyote
Maana hivi vyote
Wewe
Wewe Umefanya
Say, Afya
Afya hii
Sababu ni wewe
Afya hii
Sababu ni wewe
Uzima
Uzima huu
Sababu ni wewe
Uzima huu
Sababu ni wewe
Umenipendelea
Amenipe
Umenipendelea
Amenipe
Umenipendelea
Amenipe
Umenipendelea
Kama Amekupendelea
Nisikie Vigeregere Wewe!
Wapi Shangwe
Na Vigeregere wewe
Say, Afya
Afya hii
Sababu ni wewe
Afya hii
Sababu ni wewe
Uzima
Uzima huu
Sababu ni wewe
Uzima huu
Sababu ni wewe
Say, Afya
Afya hii
Sababu ni wewe
Afya hii
Sababu ni wewe
Uzima
Uzima huu
Sababu ni wewe
Uzima huu
Sababu ni wewe
Amenipe
Umenipendelea
Amenipe
Umenipendelea
Amenipendelea
Umenipendelea
Amenipendelea
Umenipendelea
Afya
Afya hii
Sababu ni wewe
Afya hii
Sababu ni wewe
Uzima
Uzima huu
Sababu ni wewe
Uzima huu
Sababu ni wewe
Amenipe
Umenipendelea
Si wanaona, Amekupendelea
Umenipendelea
Si wanaona, Amekupendelea
Umenipendelea
Si wanaona, Amenipendelea
Umenipendelea





