African Gospel Songs Neema Gospel Choir – Nuru Ya Ulimwengu

Neema Gospel Choir – Nuru Ya Ulimwengu

Neema Gospel Choir Nuru Ya Ulimwengu 1

Download Nuru Ya Ulimwengu Mp3 by

The Kenyan Music team, Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT) whose songs have always been a blessing “Neema Gospel Choir” comes through with a song titled “Nuru Ya Ulimwengu”.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Nuru Ya Ulimwengu by

Nuru ya ulimwengu,
chumvi ya dunia.

mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu.

Kwa neema ya Mungu, tumestahilishwa

Mimi na wewe tumepewa dhamana

Mawakili wa siri, zake baba Mungu
Tena tu mashahidi wa wema na uzuri,
wake Mungu tumepewa baraka,
ziwavute wengine waje kwake Yesu.

Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia.
mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia

Nuru yake Yesu

Uwepo wetu ni wathamani,
katika uso wa dunia.
Nafasi yetu ni ya muhimu,
katika uso wa dunia.

Mwili wa kristo kanisa la Mungu
(tuungane)

kuangaza dunia watu wayaone
( matendo yetu)

tuwe wa moja twende kwa pamoja
( tuungane)

kungaza dunia watu wayaonee
(matendo yetu)

Comment below with your feedback and thoughts on this post.