Download Malango Mp3 by Neema Gospel Choir
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented and vibrant musical group, “Neema Gospel Choir“. It’s a song titled “Malango“, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More NEEMA GOSPEL CHOIR Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Malango by Neema Gospel Choir
[Chorus]
Nguvu zako
Eeeh Bwana Mungu wangu
[Verse 1]
Ilikuwa ni muda mrefu uliopita
Nikisubiri uamuzi wa nyakati zake
Yeye ndiye anayenishikilia kwa nguvu
Alikubali kudhihakiwa
Hasingeweza kunipuuza hata ningenong’ona
Hata aliponiona karibu
Kuanguka chini angenishika
Hata mlima ambao ni mzito
Aliniwezesha kuupanda
[Pre-Chorus]
Yeye ndiye anayehusika utimilifu ya ahadi
Ndiye nasema sina shaka aliniponya maombolezo
Yeye ndiye anayehusika utimilifu ya ahadi
Ndiye nasema sina shaka aliniponya maombolezo
[Chorus]
Nguvu zako
Eeeh Bwana Mungu wangu
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
[Verse 2]
Eh hakika hakuna hata neno moja
Lililosemwa na Bwana lililowahi kumezwa
Njooni njooni muone
Nguvu za mkono wake
Kujeni njooni muone
Nguvu za mkono wake
[Verse 3]
Nyinyi watu mkingali mbali
Yoyoyo
Na sauti ya faraja
Kwenye visima vya migogoro
Yoyoyoyo
Hapana msijitie shaka
[Pre-Chorus]
Yeye ndiye anayehusika utimilifu ya ahadi
Ndiye nasema sina shaka aliniponya maombolezo
Yeye ndiye anayehusika utimilifu ya ahadi
Ndiye nasema sina shaka aliniponya maombolezo
[Chorus]
Nguvu zako
Eeeh Bwana Mungu wangu
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
Nguvu zako
Eeeh Bwana Mungu wangu
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
Zimetuma tena ni nimeshota
Kwenye kisima ya sifa
[Outro / Bridge]
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa
Wewe ni kimbilio
Tena na makao
Umebadilisha huzuni kuwa sifa





