Gospel Global Mtukuzeni Choir – Wasaidie Yatima

Mtukuzeni Choir – Wasaidie Yatima

Download Wasaidie Yatima Mp3 by

The renowned Global Christian music team of praisers and worshippers whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which they title “Wasaidie Yatima“.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Wasaidie Yatima by

Wewe ndiwe Baba (You are the Father)
Wewe ndiwe Mungu (You are God)
Wewe ndiwe Baba (You are the Father)
Usikie kilio chao (Hear their cries) (Repeat)

Wengine walia mavazi (Some cry for clothes)
Wengine walia chakula (Others cry for food)
Wengine walia kulala (Some cry for a place to sleep)
Wengine walia msaada (Others cry for help) (Repeat)

Refrain:
Repeat: Wasaidie (Help Them)
Eh he Wasaidie (Oh, help them)
Oh Wasaidie (Oh, help them)
Eh Wasaidie (Oh Help them)
Wewe ndiwe msaada/mlezi wao (For you are their help/caregiver) (Repeat)

Enyi wazazi wa kambo (And to you step-parents)
Msiwatese yatima (Do not abuse the orphans)
Enyi wazazi wa kambo (You step-parents)
Msiwatese yatima (Do not torment the orphans)
Nao ni watu, mbele za mungu (For they are humans before God)
Tena wana haki, mbele za Mungu (And they have rights before God)
Msiwatese! (Do not torment them!)
Wanalia ye ye ye (For they cry “ye, ye, ye”) x2
Eh Mungu, sikia kilio chao! (Oh God, hear their prayers)

Bridge:
Hawana baba wala mama (They neither have a father nor a mother)
Ee Bwana wasaidie (Oh Lord, help them)
Wewe ndiwe msaada wao (For You are their help)
Ee Bwana wasaidie (Oh Lord, help them) (Repeat)

Advertisements

REPORT THIS AD

Wameumizwa sana na maneno ya watu (They have been hurt by people's words)
Wameumizwa sana na maneno ya walimwengu (They have been hurt by worlds' words) (Repeat)

Ondoa (Wipe away) x?

Ondoa uchungu mioyoni mwao (Wipe away the pain in their hearts)
Ondoa mawazo mioyoni mwao (Wipe away the depression from their hearts)
Ondoa mikwasi mioyoni mwao (Wipe away the contentions from their hearts)
Ondoa hasira mioyoni mwao (Wipe away the anger from their heats) (Repeat)

Walikula vizuri (For they ate well [before])
Leo wala majalalani (But now they eat from litter/trash)
Walilala pazuri (They slept well [before])
Leo walala mitaroni (But today they sleep in ditches)(Repeat)

Mali zao mmechukua ninyi ndugu zao
(Their brothers have snatched their property) x2
Wakija kuomba, chakula mwawanyima
(When they come to beg for food, you deny them)
Wakija kuomba, mwawafukuza kama mbwa
(When they come to beg, you chase them away like dogs)
Kuna siku, watoto wenu wataitwa yatima
(There may come a day that your children will be called orpans)
Na watateswa kama mlivyowatesa
(And be tormented as you tormented others).

Ee Mungu watazame yatima (Oh God, look upon the orphans)
Watie nguvu, wasikate tamaa
(Grant them strength, that they may not give up)

(Bridge)

(Refrain)

Kuna siku, watoto wenu wataitwa yatima
(There may come a day that your children will be called orpans)
Na watateswa kama mlivyowatesa
(And be tormented as you tormented others).
Wanalia ye ye ye (For they cry “ye, ye, ye”) x2
Eh Mungu, sikia kilio chao! (Oh God, hear their prayers)

Yesu, naomba unitazame mimi yatima
(Father I pray that you look unto me, an orphan)
Maana mama ameniacha (For my mother left me)
Walikuwepo nilidhamimiwa sana
(When she was alive, I was treasured)
Lakini kwa sasa dhamani yangu haipo tena
(But now my value is no longer there)
Nisaidie ewe Yesu (Help me, Oh Jesus)
Tunapokwenda, wewe ndiwe kimbilio
(Where we go, you are our safe refuge)
Kwanini mimi, kwanini mimi niitwe yatima?
(Why should I, why should I be called an orphan?)

(Refrain)

5 COMMENTS

Comment below with your feedback and thoughts on this post.