Gospel Global Moji Shortbabaa – Mitumba

Moji Shortbabaa – Mitumba

Download Mitumba Mp3 by

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “Moji Shortbabaa” births out a song of praise worship which he titles “Mitumba“.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More MOJI SHORTBABAA Songs Here

Lyrics: Mitumba by

Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah

Amenipa chance ya pili tangu niokoke
Amenipa chance ya pili niko okay
Me ningeliwa na mamba
niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba

Oh, I know bila yeye me sina styro
Oh, I know kwake on point kama byro

Hook
Me ningeliwa na mamba
niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba

Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah

Eh, ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha
ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha

Aliniambia oya kuja tu
ah vuka boda oya vuka tu
wokovu tamu oya kula tu
shetani chini kama kiatu

Ah Ah Ah Oya, damu inaosha
Ni nini unataka nani, yesu anatosha

Hook
Me ningeliwa na mamba
niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba

Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah

Mitumba, mitumba
anakupa chance ya pili kama
mitumba mitumba
anakupa chance ya pili kama
mitumba mitumba

Eeeeeeh!

Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah

Oooooh Oh Oh Eeeeeeh eh eh

Drop some comment below about what you think about this post!