Top Christian Songs Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mercy Masika Mkono Wa Bwana

Download Mkono Wa Bwana Mp3 by 

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which she titles “Mkono Wa Bwana“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE MERCY MASIKA SONGS HERE

Lyrics: Mkono Wa Bwana by 

Uh
La la
Umeomba sana ah
Umehangaika sana ah
Umengoja sana ila majibu huoni
Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi eey
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Ahadi zake ni kweli
Njia zake sio kama mwanadamu
Akili zake ziko juu
Atusikia sisi wanadamu
Tulia.ah
Tulia na baba
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mipango mwema juu yetu
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mipango mwema juu yetu
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia Si zito si zito Ooh
Hallelluyah ni mwaminifu
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi (hallelujah)
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa Mungu si mfupi

Comment below with your feedback and thoughts on this post.