Gospel Global Mathias Walichupa – Ni Wewe

Mathias Walichupa – Ni Wewe

Download Ni Wewe Mp3 by Ft. Godfrey Steven

Here's a song by the Global prolific music artist and talented singer ““. This song is titled “Ni Wewe” featuring Godfrey Steven, as it was released alongside its video. You'll also be blessed.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Ni Wewe by

From January to December najua alinilinda
Ni Wewe
Tangu Mawio, machweo alinipa huu mwangaza
Ni wewe
Wakati wa huzuni, furaha zote unanipa amani
Milimani, Mabondeni kote unakua nami
Nchi ya ahadi, nzuri imejaa asali
Iye iyee, iyee iyee
Wa kunifikisha mbali ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Sina mwingine
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ujaze bodo langu mishale
Vitani ni wewe Bwana
Ufutae uso wangu aibu
Na fedheha ni wewe Bwana
Hayupo mwingine
Wa kunifuta machozi yangu ila ni wewe
Ninapokosa ujasiri
Na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe
Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Lyee iyee, iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Hayupo mwingine ila wewe Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe msaidizi wangu Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe

Comment below with your feedback and thoughts on this post.