Top Christian Songs Martha Mwaipaja – Tusikate Tamaa

Martha Mwaipaja – Tusikate Tamaa

Martha Mwaipaja Tusikate Tamaa

🎵 Click to Join our WhatsApp Channel for the latest gospel updates & Trending songs!

Download Tusikate Tamaa Mp3 by

Here's a song by the Nigerian Christian music minister and fast-rising praise worship leader “” whose song has been a blessing to live. The song is titled “Tusikate Tamaa“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Tusikate Tamaa by

Kuna wakati wa kulia
Wakati wa kuomboleza
Wakati wa kusema mungu wangu mbona umeniachaa
Maana hakuna wakati mgumu kama wakati wa shida
Hata ndugu yako wa damu atajitengaa nawe
Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia,
Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe…×2
Nmejifunza kwamba wakati wamatatizo hata yule aliyekupenda , anajitenga nawe,
Maana hata wakati wa Yesu ukinywea kikombe cha mateso,,wengi waliompenda walijitenga naye
Hata wanafunzi wake waliompenda sana yesu,
walipomuona akakamatwa wakajitenga naye,wengine wakamhidhihaki aliweza okoa wengine,na ajiokoe mwenyewe tumwone kama ni mfalme,,
Yesu alinyamza kimya alikua akingojaa wakati,na wakati ulipofika wote wakajua ndie bwana,,
Wote waliomkimbia hata waliomtesa wakati ulifika wote wakajua ndie Bwana
Mwanamke aliyetokwa n damu, kwa miaka mingi jamii yakee yote ilijitenga naye,
walitama tatizo lake wakamwita ninajisi wakasahau kwamba yupo mungu mwenye upendo,,Wakamtenga mbali wakamwona hana thamani,Yesu mwenye huruma akamkumbatia,wakamshusha chini wakamwona, hafai kitu baba wa huruma akamwiinua
Wakamdarau kwa sababu ya tatizo lake Yesu mwenye Neema akamheshimishaa,
Tunapopitia shida,wengi wanafikiri hatuna Mungu lakini siku moja ivo Watajua tunaye Baba
Tunapopitia mateso wengi wanadani hatutashinda,lakini siku moja ipo watasema Mungu Yupo,
Hata tukitengwa mbali na wanadamu wa leo,yeye aliyetuumba atatukumbatia,
Tukidharauliwa tukionekana ni wajinga
Yeye mwokozi atatuheshimisha
Tukishushwa chini mbaka mavumbini,Yesu huinua wanyonge atatuinua
Tusikate tamaa,Tusikate tamaa
Siku moja iko,tutanyamaza
Usikate tamaa
Usikate tamaa

Comment below with your feedback and thoughts on this post.