Download Ni Siku Kuu Mp3 by Martha Mwaipaja
Here’s a song by the Nigerian Christian music minister and fast-rising praise worship leader โMartha Mwaipajaโ whose song has been a blessing to live. The song is titled โNi Siku Kuuโ.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
Lyrics: Ni Siku Kuu by Martha Mwaipaja
Ni siku kuu siku ile,
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele,
Kunyamaza hauwezi.
You May Also Like: ๐๐ฝ
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu,
Hukesha na kuomba tu,
Ameniongoza miguu,
Suku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu.
Tumekwisha kupatana,
Mimi wake,Yeye wangu,
Na sasa nitamwandama,
Nikiri neno la Mungu.
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu,
Hukesha na kuomba tu,
Ameniongoza miguu,
Suku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu.
You May Also Like: ๐๐ฝ