Download Amenitengeneza Mp3 by Martha Mwaipaja
Here’s a song by the Nigerian Christian music minister and fast-rising praise worship leader “Martha Mwaipaja” whose song has been a blessing to live. The song is titled “Amenitengeneza“.
Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.
Lyrics: Amenitengeneza by Martha Mwaipaja
Iko neema aah
Neema itufanyayo tumebadilika
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu baba haa
Jana nililia mwenzio
Amenitengeneza huyu baba haa
Jana niliteswa sana
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu baba haa
Jana nilifukuzwa
Amenitengeneza huyu baba haa
Jana nilikimbiwa
Amenitengeneza huyu baba haa
Leo nimenyamaza
Amenitengeneza huyu baba haa
Leo nimenyamaza
Amenitengeneza huyu baba haa
Amefanya leo niimbe
Yesu amefanya leo niimbe
Amenipenda kulivyo nilivyofikiria
Amenitunza kuliko nilivyodhania
Alinitoa kule wengine walitaka nibakia
Alinitoa kule wengine walitaka nilie
Alinibembeleza na mimi
Amenifanya kuwa neema kati ya wenye neema
Sikujua na mimi leo nitabadilika
Maana jana yangu nililia aah aha
Maana jana yangu niliteseka aah aha
Nakwambia nimetengenezwa na baba
Ni kweli mimi nimebadilishwa na baba
Amenipenda kiasi kile sikujua
Usinione hivi nilivyo amenipenda baba
Amenitengeneza huyu baba
Amenibadilisha huyu baba
Amenibadilisha huyu baba
Halleluyah
Amenitengeneza huyu baba haa
Huyu baba wa mimi
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu baba haa
Nikaondoa aibu
Amenitengeneza huyu baba haa
Nikaondoa fedheha
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha na mimi
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenibadilisha na mimi
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenitoa nyuma
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenitoa nyuma
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenileta mbele na mimi
Amenitengeneza huyu baba haa
Amenileta mbele na mimi
Amenitengeneza huyu baba haa
Huyu Baba
Amenitengeneza huyu baba haa
Amefanya adui zangu waaibike
Amefanya watesi wangu waaibike
Walio taka niwe vile walivyonijua
Waliopenda niwe vile walivyonijua
Mimi leo nimebadilishwa aah aha
Mimi sasa nimetengenezwa aah aha
Amenibadilisha huyu baba ah
Amenitengeneza huyu baba ah
Alikuja kama mtawala wa haki kwangu
Alikuja kama mtawala wa haki kwangu
Akatawala maisha yangu yote
Ametawala mawazo yangu yote
Amebadilisha hadi tembea yangu mwenzenu
Amebadilisha hadi ongea yangu mwenzenu
Leo nimevikwa utukufu aah aha
Leo nimevikwa heshima aah aha