Download Umenikumbuka Mp3 by Kibonge Wa Yesu
Introducing a soul-lifting song from the Tanzanian gospel singer, worship leader, and songwriter, “Kibonge Wa Yesu“. Titled “Umenikumbuka“, this track was released in 2026. The song combines heartfelt expression with a captivating sound, delivering a message that resonates deeply. It’s one of those songs that not only sounds good but also carries a sense of purpose and inspiration with every listen.
Enjoy the MP3 audio by streaming or downloading, and don’t forget to share this amazing song with your loved ones. Let its message and sound reach more people. #CeeNaija
Download More KIBONGE WA YESU Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Umenikumbuka by Kibonge Wa Yesu
Sasa nimejua huangalii sura wala kabila
tena nimejua ulinijua kabla sijazaliwa
kweli nimejua huangalii sura wala kabila
tena nimejua ulinijua kabla sijazaliwa
(unakusudi namimi)
kati ya walio lala pengine ningekuwepo namimi unalo kusudi namimi (unakusudi namimi)
Sikwamba mi nimwema sana hata nisiwe kaburini
Ahsante kwa zawadi ya uhai (uhai)
usawa mi ulinikaba nilishindwa badilisha hata raba
sikuwa na msaada nilikuwa kama mtoto asie na baba
usawa mi ulinikaba ee
nilijiona peke yangu tena jangwani
sikuwa na msaada
walinitenga ndugu mpaka jirani
tena walinivunja na moyo wakasema siwezi inuka
kweli binadamu wanachoyo furaha yao kuona naanguka
nakushukuru Mungu wangu
umenikumbuka namimi
hata mimi niliedharaulika sana
umenikumbuka namimi
hata mimi nilie sahaulika
umenikumbuka namimi
i thank u lord i thank u lord for the life
umenikumbuka namimi
nakushukuru umenifuta machozi
ninamjua yule ninae mtumikia
wakiweka vigingi bure wanajisumbua
ametoa kule sikuwa na dira
atanishindia kwa wale walio na hila
nikisema amenikumbuka Mungu
mwenzenu mi namaanisha
yeye ni sababu mimi kuwa hivi
mwenzenu kanibadilisha
usawa mi ulinikaba nilishindwa badilisha hata raba
sikuwa na msaada nilikuwa kama mtoto asie na baba
usawa mi ulinikaba ee
nilijiona peke yangu tena jangwani
sikuwa na msaada
walinitenga ndugu mpaka jirani
tena walinivunja na moyo wakasema siwezi inuka
kweli binadamu wanachoyo furaha yao kuona naanguka
nakushukuru Mungu wangu
umenikumbuka namimi
hata mimi niliedharaulika sana
umenikumbuka namimi
hata mimi niliesahaulika
umenikumbuka namimi
ithank u lord ithank u lord for the life
umenikumbuka namimi
nakushukuru umenifuta machozi
.
Kibo enheee melodizer





