Download Mungu Wa Ishara Mp3 by Kathy Praise
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented and prolific Kenyan gospel artiste, “Kathy Praise“. It’s a song titled “Mungu Wa Ishara“, and was released in 2020. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More KATHY PRAISE Songs Here
Lyrics: Mungu Wa Ishara by Kathy Praise
Moyo wangu ukuinue… Mungu wa Ishara
Dhabihu yangu uipokee.. Mungu wa Ishara
Umetenda mambo makuu …. Mungu wa Ishara
Hakika wewe ni Mungu…
Kama Ulivyo tenda hapo mwanzo tenda tena…
Mungu mwenye nguvu haushindwi kamwe tunakutazamia…
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa..vipofu wakapata kuona…
yote ukiyatenda kwa utukufu wako Yesu twakuabudu…
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa..vipofu wakapata kuona…
yote ukiyatenda kwa utukufu wako Yesu twakuabudu…
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu…
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu….
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu…
Wewe ni Mungu muweza yote Usiyeshinwa…
Ishara zako Twaona … Nguvu zako Twaona Yahweh…
Kama Ulivyo Ahidi Tenda…. OOOOhh Tenda tena Baba
Tasa uwape watoto Tenda …OOOOhh Tenda tena Baba
Waliofungwa.. kukataliwa Jehova Tenda….OOOOhh Tenda tena Baba
Waliyofungwa kukataliwa Jehova Tenda…OOOOhh Tenda tena Baba
Waliyolaaniwa vunja laana tenda Muujiza tukuone…
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu…
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu….
Mungu wa Ishara … Mungu wa Miujiza Tunakuabudu…
Wewe ni Mungu Usiyeshindwa Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyelala Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyebadilika Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Muweza yote Tunakuabudu

……end…..~