Download Hakuna Kama Wewe Mp3 by Kathy Praise
The versatile Kenyan gospel artist, worship leader and songwriter “Kathy Praise“, comes through with a song called “Hakuna Kama Wewe“, and was released in 2013. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Hakuna Kama Wewe” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Hakuna Kama Wewe” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More KATHY PRAISE Songs Here
Lyrics: Hakuna Kama Wewe by Kathy Praise
tunakuabudu Mungu weee
naungana na malaika pamoja na maserafi
naungana na wazee ishirini na wanne
kusema hakuna kama wewe iyeeeeh
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
tuna inama tuna inuka tukisema wewe ni Mungu
tuna inama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
tuna inama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tuna inama tuna inuka tukisema hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
wakulinganishwa na wewe,wakusimama kando yako,wakusimama juu yako hakuna
aliye na nguvu kama wewe,anayetupenda kama wewe
anayetulinda iye hakuna
anayetujali sisi,anayetumba tunapoomba,anayeyajibu maombi yeee iye hakuna
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
mtakatifu wewe mtakatifu,uliye keti kwenye kiti cha enzi eeeh
hakuna mwingine kama wewe baba
hakuna anayetawala
unayeponya magonjwa,ya kila aina,
Saratani na kisukari hata ukimwi
hakuna jambo gumu kwako,wazitatua shida zetu
wazifahamu wewe yaweh twakwabudu
umetupa afya njema umetulinda usiku kucha
umekuwa rafiki wetu wa karibu eeeh
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
unayefaridhi walio fiwa,na kutufuta machozi
unayetupa amani baba,twakwabufu
unayesamehe dhambi Jehovah,unayeweka roho zetu guru
unafungua minyororo,ya shetani
twakimbilia kwako ewe baba,msaada wetu ndiwe
tegemeo letu ndiwe,iye Messiah
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu
tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakunaaaaaa hakuna kama wewe
hakuna Mungu kama wewe iyeee
tunakuheshimu mfariji wueh hakuna kama wewe
hakuna kama wewe…ooohhhh
hakuna mwenye nguvu kama wewe baba
anayetupenda kama wewe
hakuna kama wewe Shiloh unayepigana vita vyetu babaa
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama wewe
hakuna kama weweeeeeh