Top Christian Songs John Lisu – Hakuna Gumu Kwako

John Lisu – Hakuna Gumu Kwako

John Lisu Hakuna Gumu Kwako

Download Hakuna Gumu Kwako Mp3 by 

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which she titles “Hakuna Gumu Kwako“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Hakuna Gumu Kwako by 

Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu
Umefanya mengi ya ajabu
Wewe ni mfalme

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Ulitembea juu ya maji YESU
Hakuna gumu kwako
Wafanya njia pasipo na njia
Hakuna gumu kwako

Na wagonjwa wanapona YESU
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Kuta za gereza zatingizika
Minyaroro yakatika
Wafungwa wafunguliwa Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Mashtaka yetu yamefutwa
Vita vyetu ni juu ya Bwana
Falme zitainuka, falme zitaanguka
Bali ufalme wako wadumu

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Milima yayeyuka kama nta mbele zako
Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu
Uliumba pasipo wewe kuumbwa
Wewe ni mfalme

Comment below with your feedback and thoughts on this post.