Gospel Global Joel Lwaga – Nafasi Nyingine

Joel Lwaga – Nafasi Nyingine

🎵 Click to Join our WhatsApp Channel for the latest gospel updates & Trending songs!

Download Nafasi Nyingine Mp3 by 

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which he titles “Nafasi Nyingine“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE JOEL LWAGA SONGS HERE

Lyrics: Nafasi Nyingine by 

Mavumbi umenifuta yote (You have cleansed all my dirt)
Habari umebadili yote (You have changed all my news)
Machozi umenifuta yote (You have wiped all my tears)
Aibu umeondoa yote (You have removed all my shame)

Umeniita mwanaye (You called me Your son)
Niliyekuwa mtumwa (When I was a slave)
Umenisimamisha (You stood me)
Katika wingi wa neema (In the multitude of grace)
Na umeniketisha mahali pa juu sana (And sat me on a high place)

Bridge:
Ninaucheka wakati uliopita (I laugh at the past)
Nikiufurahia ule ujao (And joyful of the future)
Ninaucheka wakati uliopita (I laugh at the past)
Nikiufurahia ule ujao (And joyful of the future)(Repeat)

Repeat: Nafasi nyingine (Another chance)
Mara umenipa (For You have given me)
Umenipenda bila kukoma (You have loved me unceasingly)
Neema yako imeniinua tena (Your Grace has lifted me high)
Umenipa tena bila kuchoka (You have given me without tiring)

Refrain:
Mungu wa neema, ah neema (God of Grace, oh Grace)
Ah wa neema, ah wa neema (Oh of Grace, of Grace)
Neema, aah, wa neema (Grace, oh, of Grace)
Neema, aah (Oh Grace)

Madaktari walisema sitapona tena (The doctors said I will not heal)
Walimu walisema nitafeli (The teachers said I will fail)
Ndugu na jamaa walisema nimeshindika (Brothers and relatives said I will not succeed)
Na kumbe wewe waniwazia mema (But you thought well of me)
Umri ulipo sogea (When my years advanced)
Walisema ndoa si fungu langu (They said that marriage is not my portion)
Nilipofiwa na mpendwa yule (When my loved one died)
Walisema sitaweza tena (They said that I would not make it)
Baada tu ya kufilisika (After I was broke)
Siku mbona wa kuniombea (While they prayed in my presence)
Na kumbe ndani yao, walifurahi niliyopitia (They rejoiced in my suffering in secret)

(Bridge)

(Refrain)

Comment below with your feedback and thoughts on this post.