Gospel Global Imani Eric Shoo – Roho Mtakatifu (Prayer Anthem)

Imani Eric Shoo – Roho Mtakatifu (Prayer Anthem)

Download Roho Mtakatifu (Prayer Anthem) Mp3 by Ft. Paul Clement

A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writerย โ€œโ€œ, as He calls this song โ€œRoho Mtakatifu (Prayer Anthem)โ€ featuring Paul Clement. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE IMANI ERIC SHOO SONGS HERE

You May Also Like: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Lyrics: Roho Mtakatifu (Prayer Anthem) by

VERSE: Rafiki wa karibu yangu kuliko mavazi yangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Mito inayotiririka vilindini mwa moyo wangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Upole wa asili yako na makali ya nguvu zako, ni dhahiri sana kwangu
Ukisema unatenda ukiahidi unafanya, Hakuna usiloweza

CHORUS : Nifundishe, kuishi sawasawa na mapenzi yako
Nithibitishe, katika haki na utakatifu wako
Ushawishi, kuishi kwangu na matendo yangu
Nipe hatua moja zaidi ewe mpenzi wangu.

VERSE: Uzuri wako na Uaminifu wa Moyo wako uwepo wako, uwepo wako
Ushindaye giza kwa Nuru ya asili yako, ewe Roho Mtakatifu
Umejawa uhai uweza mamlaka vyote, vimebebwa nawe

#VERSE: Ukiwa ndani yangu mashaka sina tena, ujasiri wote unawewe
Ututofautishae na watu wa duniani, Mwalimu wa Haki yote
Ni shauku yangu kuwa nawe kuliko jana, Nijaze kwa Nguvu zako.

You May Also Like: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Comment below with your feedback and thoughts on this post.