Gospel Global Goodluck Gozbert – Pendo Langu

Goodluck Gozbert – Pendo Langu

Download Pendo Langu MP3 by

The Kenyan prolific gospel music minister and recording artist releases a song as this song is titled “Pendo Langu“, releases the audio alongside its visual.

Download Audio Mp3, Stream, Share & keep being blessed.

DOWNLOAD MP3 HERE

DOWNLOAD MORE GOODLUCK GOZBERT SONGS HERE

Lyrics: Pendo Langu by

Uhafifu wa mbalamwezi,
Haufanyi usiku kukwama
Nina mengi ila nimetunza ndani
Umevumilia mengi ujinga wangu
Naukasitiri madhaifu yangu
Acha tu nikwambie
Wewe ni one in a million
Ulilia na huzuni yangu
Ukawa mfariji wangu
Acha tu nikuambia bora nife mimi
Unizike wewe
I love you yesterday
Nakupenda sana everyday
Nikupe moyo wangu
Kwenye moyo wangu
I love you yesterday
Nitakupenda sana everyday
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
Eeeiiih, Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Nafuangua macho nakuona
Nikifumba nakuota
Kumbukumbu ya ule wema wako
Nirudi moyoni mwangu (Moyoni mwangu)
Na nilipopata maswahibu
Kaleta aibu bado ulipigania
Ule upendo wetu
Hata furaha yetu
Sijui ni nunue nini,
Kama zawadi
Yenye dhamani ili iwe zaidi ya burudani
Nikisema nikuchagulie jina zuri
Nitakuita malaika wewe
Umefanyika tabasamu
Na mchana usiku sifa mbaya huna wee
Nakupenda sana (everyday)
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
I love you yesterday
Nakupenda sana everyday
Kwenye moyo wangu
Kwenye moyo wangu
Eeeiiih, Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Tazama tazama machoni uone (Every night and day)
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Tazama tazama machoni uone
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe
Ulivyo pendo langu babe

Comment below with your feedback and thoughts on this post.