Top Christian Songs Goodluck Gozbert – Acha Waambiane

Goodluck Gozbert – Acha Waambiane

Goodluck Gozbert Acha Waambiane

Download Acha Waambiane MP3 by

The Kenyan prolific gospel music minister and recording artist releases a song as this song is titled “Acha Waambiane“, releases the audio alongside its visual.

Download Audio Mp3, Stream, Share & keep being blessed.

DOWNLOAD MP3 HERE

DOWNLOAD MORE GOODLUCK GOZBERT SONGS HERE

Lyrics: Acha Waambiane by

Aaahh
Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Usikate tamaa na yale unayoyaona
Hata kama uko chini sana(uko chini sana)
Najua wataambiana wewe ni masikini(masikini)
Lakini usichoke ipo siku watasema(watasema)
Najua wataambiana wewe hufai(hufai)
Na umeshatembea na wanaume wengi(tena wengi)
Utakapofika wakati wa kuinuliwa aahhh
Utashangaa wakiambiana tena(ambiana tena)
Ati yule mwanamama aliekuwa ni kahaba(ni kahaba)
Ameolewa sasa ana familia yake(jamani)
Utasikia tena yule aliekuwa kikaragosi (kikaragosi)
Leo anatembelea gari wataambiana we
Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako(tena wasemezane)
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako(siku ikifika)
Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako (aaacha)
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Aaaaahhhh
Eeeehhhh
Aaaahhh
Uuu yeee
Aaahhh
Eeehh
Mama
Neno hili limekuwa la kawaida kwako(tena sana)
Lakini lina maana kubwa(tena sana)
Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya
Ila wametunza mengi mioyoni mwao
Usije kuona wanacheka na wewe hujui moyoni mwao wameweka niiini
Unaweza ona watakusalimia kwa furaha zote ila kumbe wameshaambiana(ambiana)
Kwamba yule pale ati ni muathirika wa ukimwi
Mara yule pale aahh ni mgumba(ni mgumba)
Ati yule pale alifeli kidato cha nne(ana zero)
Na yule pale hana ada ya masomo(tena)
Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako
Ipo siku wataambiana tena
Vile mungu atavyokuinua baba lazima wataambiana tena
(Vile)acha waambiane (yawe atakavyokuinua juu) wasemezane mabaya yako
Lazima mama wataambiana tena utasikia
Yule mgumba sasa amezaa(ana katoto keupe)
Aliefeli siku hizi ana degree(ana degree)
Utasikia mengi na utamtukuza mungu
Hivyo usife moyo Acha waambiane(acha waambiane)
Acha waambiane, wasemezane mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Acha waambiane, wasemezane mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Acha waambiane, wasemezane mabaya yako
Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako
Yeeeeeeah

Comment below with your feedback and thoughts on this post.