Gospel Global Godfrey Steven – Tunategemeana

Godfrey Steven – Tunategemeana

Download Tunategemeana Mp3 by Ft. Irene Uwoya

A soul-lifting song performed by the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writerย โ€œโ€œ, as this one is titled โ€œTunategemeanaโ€ featuring Irene Uwoya. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Tunategemeana by

Wale wa ng’ambo wanauliza mmewezaje?
Wale wa ng’ambo wanajubu mnashindwaje?
Wale wa ng’ambo wanauliza mmevukaje
Na ng’ambo inajibu mnashindwaje?
Mlichonacho hatuna tulichonacho Hamna eee
Basi tubadilishane tunufaike sotee
Ulinalo gumu kwako kwa mwingine rahisi
Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
Sababubu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni mojaa
Sababuuuuu

Tegemeana
Tunategemeana
(Tunategemeana)

Tegemeana
Tu watu wa baba mmoja
Wa baba mmojaaa
Soooteee
Tegemeana
Tunategemeana

Ili Giza litoweke lahitaji mwanga ujue
Tena hakuna mrefu pasipo na mfupi
Ukiona Daraja limejengeka ujue palionekana bonde kabla
Ooooh
Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
Sababubu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni mojaa
Sababuuuuu

Tegemeana
Tunategemeana
(Tunategemeana)
Tegemeana
Tu watu wa baba mmoja
Wa baba mmojaaa
Soooteee

Comment below with your feedback and thoughts on this post.