Music Video & Lyrics Fari Athman – Kimewaramba

Fari Athman – Kimewaramba

Download Kimewaramba Mp3 by

The radical and talented musician, , comes through with a song called “Kimewaramba“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Kimewaramba” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Kimewaramba” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More FARI ATHMAN Songs Here

You May Also Like: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Lyrics: Kimewaramba by

Wamejazana kwa milango, wanangoja hawapati habari

Mafanikio ya uongo udongo, umekauka maji

Wakashindwa na wanao wakaja kwangu kunitoa rangi

Ety atafungwa bao ndivyo walivyosema ma auntie

Ataishia pabaya kwani anachojua ni hubishi

Anafanya ukahaba hadharani anaifanya tena hafichi

Ameharibika sanaa, mwenzenu amekosa maadili

Anazo tabia mbaya, wakaambiwa all of my cousins

( Nafsi zinachechemaa, kimewaramba kimewageukia

Wanabaki wakisemaa, yule wa hapa Mwana wa familia)*2

Sasa sisemi wala sineni,

Siwezi kubadilisha maneno yaliyo nichimba ndani mimii,

Na mambo yao Abadan, Abadan

Wamejipanga wanibabaishe noo,

Washinde wakiniitisha notii,

Mabaya walionitakia wamesahau wakisema,

Yule ni mvuta bangii, atawafanya nyinyi machizii,

Kichwa kimejaza maji, hata kwa masomo ye hashikii,

Mkiungana naye atawanya nyote na wizii

Anazo tabia mbaya, wakaambiwa all of my cousins

( Nafsi zinachechemaa, kimewaramba kimewageukia

Wanabaki wakisemaa, yule wa hapa Mwana wa familia)*2

You May Also Like: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Comment below with your feedback and thoughts on this post.