Gospel Global Evelyn Wanjiru – Subiri

Evelyn Wanjiru – Subiri

Download Subiri Mp3 by  Ft. Emmy Kosgei

The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “” birth out a song of praise worship which she titles “Subiri“ featuring Emmy Kosgei, .

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE EVELYN WANJIRU SONGS HERE

Lyrics: Subiri by 

Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Usichukue njia ya mkato
Usipotoshe mashauri ya wasio hai
Heri mtu yule, afuataye sheria za bwana
Atakuwa kama mti kando kando ya maji
Huzaa matunda kwa majira yake
Kila atendalo atafanikiwa
Eeeeh
Afadhali kungoja(Afadhali kungoja)
Kumngoja bwana(Usikate tamaa)
Subiri (Mungu yuko), subiri bwana
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Umekuwa na maswali mengi mno
Unashangaa Mungu yuko wapi
Umebishabisha Mungu yuko wapi
Kufunga na kuomba, Kukesha na kuomba
Hupati majibu
Mungu sio mwanadamu hadanganyi
Subiri kwa imani
Subiri, wewe subiri
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana(Kumngoja bwana)
Subiri, (subiri baraka) subiri bwana(Yesu akupenda)
Afadhali kungoja(Usikate tamaa)
Kumngoja bwana(Mungu ni mwaminifu we)
Subiri, subiri bwana
Subiri, subiri bwana (Yote yawezekana)
Subiri, subiri bwana (Jipe Moyo Moyo Moyo Moyo Moyo)
Subiri, subiri bwana (So we can may and do it for love)
Subiri, subiri bwana (Joy comes in the morning)
Subiri, subiri bwana (Wait on the Lord)
Subiri, subiri bwana (Be still and know)
Subiri, subiri bwana
Subiri, subiri bwana
Subiri, subiri bwana
Subiri, subiri bwana
Subiri, subiri bwana

Comment below with your feedback and thoughts on this post.