Top Christian Songs Eunice Njeri – Nimekubali

Eunice Njeri – Nimekubali

Eunice Njeri Nimekubali

Download Nimekubali Mp3 by Eunice Njeri 

The well-known renowned gospel artist in Kenya whose songs have been a blessing to lives “Eunice Njeri” comes through with another song of praise worship which she titles “Nimekubali“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Nimekubali by Eunice Njeri

(Sung in Swahili)

Refrain:
Nimekubali, nasema ndio (I accept, I say yes)
Kwako ni salama, nasema ndio (It is safe in you, I say yes)
Nimekubali, nasema ndio Bwana (I accept, I say yes Lord)
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie(I give myself as a sacrifice, Lord use me)

RELATED POST:  Eunice Njeri - Praise You Jehovah

Bwana watafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli
(Lord you look for those who worship in spirit and truth)
Na wakati ndio huu naamini umefika Baba (And I believe that the time is now father)
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako yahweh (Help me to do your will)
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu (To walk with your instructions in my heart)

RELATED POST:  Eunice Njeri - Pokea Sifa

(Refrain)

Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh (I am a vessel in your hands Yahweh)
Tena ni udongo na wewe mfinyanzi Baba (And clay, while you are the potter)
Nifinyange, nitengeneze (Mold me and make me)
Uishe nafsi yangu, chochote mimi nitatenda (Use my life, I follow your will)

RELATED POST:  Eunice Njeri - Uka

(Refrain)

Niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza (Create in me a clean heart to worship you )
Bwana nitenge kwa ajili ya jina lako Baba (Set me aside for the sake of your name)
Wala usinitenganishe na uwepo wako (Do not separate me from your presence)
Mimi Bwana, nimekubali njia zako Baba (Father I accept your ways)

(Refrain)

Share Your Thoughts below