Top Christian Songs Eunice Njeri – Nani Kama Wewe

Eunice Njeri – Nani Kama Wewe

Eunice Njeri Nani Kama Wewe

Download Nani Kama Wewe Mp3 by Eunice Njeri 

The well-known renowned gospel artist in Kenya whose songs have been a blessing to lives “Eunice Njeri” comes through with another song of praise worship which she titles “Nani Kama Wewe“.

Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Lyrics: Nani Kama Wewe by Eunice Njeri

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Miguuni pako
Nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Yesu

Tumekuja tukuinue
Tumekuja tukupende
Miguuni pako
Twakupenda

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Enzini pako, twakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Baba

Miguuni pako
Nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Yesu

Tumekuja tukuinue
Tumekuja tukupende
Miguuni pako
Twakupenda

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda

Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana

Duniani, mbinguni na hata chini Baba, hakuna
Mwingine kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana

Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa

Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa

Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)

Chezea Yesu

Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa

Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa

Amen Amen, Amen
Amen

Comment below with your feedback and thoughts on this post.