Download Ameni Mp3 by Eunice Njeri
The well-known renowned gospel artist in Kenya whose songs have been a blessing to lives “Eunice Njeri” comes through with another song of praise worship which she titles “Ameni“.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
Lyrics: Ameni by Eunice Njeri
Usifiwe Mungu muumba mbingu na nchi yote
Ameni Ameni
Jehova Adonai
Jehova Elshadai
Ameni Ameni
Ooh
YOU MAY ALSO LIKE:
Uko kila mahali Baba
Dunia yakutambua
Ameni Ameni
Eeh
Ukisema Yahweh nani apingane nawe
Ameni Ameni
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu Mfalme, Bwana wa mabwana ooh
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu
Tuko salama chini ya mbawa zake
Ameni Ameni
Kanisa zote tu imara tumesimama palipo sawa
Ameni Ameni
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo
Ameni Ameni
Ooh, Usifiwe Wewe Uliye juu Sana
Ameni Ameni
Ooh Hallelujah
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wa mabwana ooh
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu
Hakuna silaha kinyume itakayo faulu
Ameni Ameni
Aliye ndani yetu ni mkuu zaidi ya tunayemuona
Ameni Ameni
Tumepewa nguvu mamlaka na uwezo
Ameni Ameni
Usifiwe Wewe Uliye shinda yote
Ameni Ameni
Tunakuinua
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu Mfalme, Bwana wa mabwana ooh
Sema wewe
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu Mfalme, Bwana wangu
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu Mfalme, Bwana wa mabwana ooh
Hallelujah (Hallelujah) Hallelujah (Hallelujah)
Wewe ni Mungu Mfalme, Bwana wangu
Hallelujah
Yesu eeh
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu