Download Ni Kwa Neema Na Rehema Mp3 by Edson Mwasabwite
Here’s a song by the African prolific music artiste and talented singer โEdson Mwasabwiteโ. This song is titled โNi Kwa Neema Na Rehemaโ, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
DOWNLOAD MORE EDSON MWASABWITE SONGS HERE
Lyrics: Ni Kwa Neema Na Rehema by Edson Mwasabwite
Hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya Mungu
Vile nilivo mimi ni kwa neema ya Mungu
Nimetoka mba-, toka mba-, toka mbali
Nimetoka mbali
Nimetoka mba-, toka mba-, toka mbali
Nimetoka mbali
Ainuliwe Mungu wangu juu
Atukuzwe Mungu wangu juu, ni kwa neema, ah
Ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Neema tu, namshukuru Mungu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Namshukuru Mungu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema)
Ni kwa neema tu na rehema
Sio kitu rahisi, Mungu tu anasaidia
Sio kazi nyepesi, Mungu tu anasaidia
Sikutegeme-, tegeme-, tegemea, sikutegemea
Sikutegeme-, tegeme-, tegemea, sikutegemea
Ainuliwe Mungu wangu juu, asifiwe Mungu wangu juu
Ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Sio nguvu au akili zangu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema)
Ni kwa neema tu na rehema
Uzima ulio nao, umepewa na Mungu
Uhai ulio nao, umepewa na Mungu
Uwezo ulio nao, umepewa na Mungu
Mali ulizo nazo, umepewa na Mungu
Hebu jiuli-, jiuli-, jiulize
Umetenda tendo gani njema
Hebu jiuli-, jiuli-, jiulize
Umefanya jambo gani njema
Asifiwe Mungu wangu juu
Atupaye hivyo vyote, eh
Ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Ni kwa neema ya Mungu wetu juu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Tunaishi tunakula) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Neema tu, Mungu wetu anatujali) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
, ni kwa neema tu
(Neema tu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Ni kwa neema ya Mungu wetu juu) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
, ni kwa neema tu
(Neema tu, Mungu wetu anatujali) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Neema tu, siku zote anatupenda) ni kwa neema tu (neema) na rehema (neema), ni kwa neema tu
(Neema tu, neema tu)