Download Sijawahi Weza Bila Wewe Mp3 by Dr. Ipyana
The eminent African Christian minister who is a medical doctor by profession has been endowed with grace to minister to the souls through heavenly inspired & devotional songs which express reverence for God “Dr Ipyana” comes through with a song which he titles “Sijawahi Weza Bila Wewe”.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
DOWNLOAD MORE DR IPYANA SONGS HERE
YOU MAY ALSO LIKE:
Lyrics: Sijawahi Weza Bila Wewe by Dr. Ipyana
So nahitaji neema yako
Kushinda vita zote Baba
So nahitaji neema yako
So nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
So nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu
Sijawahi weza, sitawahi weza
Sijawahi weza bila wewe bwana
Sitaweza mi
Nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako tu
Kushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe
Maana sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitamani weza bila wewe