Home Universal Gospel

Dr. Ipyana – Nawezaje Kunyamaza

Download Nawezaje Kunyamaza Mp3 by Dr. Ipyana

The Tanzanian Gospel Worship Minister Dr. Ipyana, comes through with a song called “Nawezaje Kunyamaza“, and was released in 2026. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Nawezaje Kunyamaza” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Nawezaje Kunyamaza” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More DR. IPYANA Songs Here

Lyrics: Nawezaje Kunyamaza by Dr. Ipyana

Sijaona namna hii
Eeeh namna hii, sijaona namna hii

Nawezaje kunyamaza?
Wakati Umefanya
Eeh namna hii, sijaona namna hii

Nawezaje kutulia?
Wakati Umefanya
Eeh namna hii, sijaona namna hii

Mataifa yatetemeka
Kwa Matendo Yako MAKUBWA
Aiyeee! Namna hii?
Sijaona namna hii

Dunia inashangazwa
Kwa Matendo Yako MAKUBWA
We’ YESU, namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kunyamaza?
Wakati Umefanya
Eeeh namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kutulia?
Wakati Umefanya
Eeeh namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kunyamaza?
Wakati Umefanya
Haiwee! namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kutulia?
Wakati Umefanya
Haiwee! namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kunyamaza?
Wakati Umefanya
We’ YESU namna hii?
Sijaona namna hii

Nawezaje kutulia?
Wakati Umefanya
We’ YESU! namna hii?
Sijaona namna hii

We’ YESU! namna hii?
Sijaona namna hii

Haiwee! namna hii,
Sijaona namna hii

Eeh namna hii?
Sijaona namna hii

Comment below with your feedback and thoughts on this post.