Gospel Music DOWNLOAD MP3: Alice Kimanzi ft. Paul Clement – Yuko Mungu (LYRICS)

DOWNLOAD MP3: Alice Kimanzi ft. Paul Clement – Yuko Mungu (LYRICS)

Another dialect song from Alice Kimazi as she joins hands with to produce this amazing tune titled “Yuko Mungu”, the song visuals is also available for streaming below.

Lyrics of “Yuko Mungu” by Alice Kimanzi

Giza totoro yanizingira 
Miale haijanifikia 
Ilhali kumekucha pambazuka 
Imani yashuka didimia 
Amani nayo yafifia 
Eloi Lamasabaktani  .

Yuko Mungu anayeweza 
Yuko Mungu anayetenda 
Mwamini Yeye 
Mwamini Yeye hutohaibika  .

Giza likiwa nisito Bwana atawasha 
Sababu Mungu u mwenye hamasha 
Atarejesha amani, atarejesha furaha 
Ulivyovipoteza kwa muda mrefu 
Atarejesha Bwana.

Yuko Mungu anayeweza 
Yuko Mungu anayetenda 
Mwamini Yeye 
Mwamini Yeye hutohaibika   .

Pale ninaposhindwa nani wa kuniwezesha 
Yeye ndiye awezaye 
Nikiwa vitani nani wa kunishindia 
Ni yeye ndiye awezaye 
Ninapotia shaka nani wa kuniongoza 
Ni yeye Mungu yuko  .

Yuko Mungu anayeweza 
Yuko Mungu anayetenda 
Mwamini Yeye 
Mwamini Yeye hutohaibika   .

Yuko Mungu anayeweza 
Yuko Mungu anayetenda 
Mwamini Yeye 
Mwamini Yeye hutohaibika  

Watch the official video below.

Download Mp3, Listen, Share and enjoy.

DOWNLOAD MP3 HERE

Comment below with your feedback and thoughts on this post.