Download Natulizana Mp3 by Diamond Platnumz
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented and sensational Tanzanian musician, “Diamond Platnumz“. It’s a song titled “Natulizana“, and was released in 2023. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More DIAMOND PLATNUMZ Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Natulizana by Diamond Platnumz
Changanya tende na maziwa
Havifikii utamu wako
Wanipe embe au juice ya miwa
Mie ntakunywa tu wewe hapo
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayo ninogeza
Kwangu ni mageni yani
Namaliza vingereza
Mara ooh i’m coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Halafu sipendi
Unavyo nispoil sana
Vigift gift
Mwenzio unanchanganya
Eti nakosa mimi
Unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda
Embu punguza bana
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama
Vichepu chepu vya mjini mafua
Mi vumbi la nini chafya
Kichefuchefu ya nini waje tibua
Unichukie uje niacha
Halafu huku kususa we unajua
Ni utoto ninikua nitaacha
Tukigombana wahi kuniblokua
Ukichelewas puuh! nafwa
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayo ninogeza
Kwangu ni mageni yani
Namaliza vingereza
Mara ooh i’m coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Halafu sipendi
Unavyo nispoil sana
Vigift gift
Mwenzio unanchanganya
Eti nakosa mimi
Unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda
Embu punguza bana
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama
Nami natulizana
Tupendane kiama





