Download Tazama Mp3 byย Daddy Owen
The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives โDaddy Owenโ birth out a song of praise worship which he titles โTazamaโ.
Get Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed.
DOWNLOAD MORE DADDY OWEN SONGS HERE
Lyrics: Tazama byย Daddy Owen
Intro
Johntezz wapi machungwa
Daddy Owen once again
Mambo mapya
Story ndio zao Baraka ndio zetu
CHORUS
Tazama tazama
Adui yuazunguka
Chunguza chunguza
Adui yuazunguka
Tazama eeh tazama aah
Tazama tazama
Tazama tazama
Adui yuazunguka
VERSE1
Ukiona wingu lakusanyika
Jua kwamba kuna gharika
Ibilisi yuaja kutumaliza
Kuharibu na kuchukua
Mi nakusihi
Umuamini
Mungu mwenyezi
Akuthamini
Oh weh oooh
Chungeni sana shetani ni mbaya
Oh weh oooh
Azunguka kama simba marara
Oh weh oh weh
Chungeni sana shetani ni mbaya
Oh weh oh weh
Azunguka kama simba marara
CHORUS
VERSE 2
Usiwe popo
Si mnyama na si ndege wala kinyonga
Si kijani si manjano
Usiwe popo
Si mnyama na si ndege wala kinyonga
Kwako niwe Bwana eeh
Nasimama wima
Niongoze kwani ndiwe
Mwamba na salama
Kwako niwe Bwana eeh
Nasimama wima
Niongoze kwani ndiwe
Mwamba na salama
CHORUS
BRIDGE
Wapendwa tusisahau kufunga na kuomba
Na kukesha kwa maana ibilisi agurumae kama simba
Uzungukazunguka akitafuta mtu wa kumeza
Lakini yeye ni mfano wa simba tu
CHORUS